He is a Ordinary Diploma Of Computer Science also holder of BSc(Cs)Bachelor of Science in Computer Science from ST. .JOSEPH UNIVERSITY to RUCU. The C.E.O and founder of I.T MAN SOLUTION Tz1 with enough knowledge in Computer mainteance and softwares, android tricks, web designing and graphics design, part-time blogger and softwares distributor with enough knowledge on entrepreneurship. Reach him 24/7 through WhatsApp 0716 68 43 67 and 0762324735 itmansolution2016@gmail.com.
Monday, 8 September 2014
Picha 16 za ajali nyingine ya Basi Dodoma leo
zaidi ya watu watano ambao ameshuhudia wamepoteza maisha na wengine zaidi kujeruhiwa.
Basi linaitwa Air Bus na limepata ajali likielekea Dodoma na ni baada ya kifaa cha usukani kushindwa kufanya kazi ambapo muda mfupi baadae anasema alisikia tu dereva akipiga kelele na kisha kikafata kishindo, basi likaacha njia na kwenda bondeni. inaendelea kufatilia ili kupata taarifa kamili ili kujua idadi ya vifo na majeruhi pamoja na taarifa nyingine ambapo ajali hii imetokea siku tatu baada ya Waziri wa uchukuzi Dr. Harryson Mwakyembe kufungia kampuni mbili za mabasi ya J4 Express na Mwanza Coach yaliyogongana na kuua 39 Musoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment