Wednesday, 10 September 2014

DOWNLOAD NGOMA MPYA YA JUX-SISIKII



Miongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux inawezekana labda aina ya muziki anaoufanya kuwagusa wasichana wengi.


Zimesikika zingle zake kadhaa ikiwemo Napata Raha,Nitasubiri ,Uzuri wako na hii iko kwenye list ya single zake ambazo amesema anategemea zitafanya vizuri zaidi,Jux pia ni mmoja kati ya wanaounda kundi la Wakacha akiwepo na Cyril.

Bonyeza play kusikiliza.

No comments:

Post a Comment