Tuesday, 19 August 2014

MPYA DOWNLOAD HAPA ::CHID BENZI FT DIAMOND and A Y ---MPAKA KUCHEE




Miongoni mwa ma rapa wenye sauti ya kipekee Tanzania kwenye list yako hutomkosa Chid Benzi ambaye mbali na kuwa na sauti ya kipekee pia ni mkali kwa michano yake.


Hapa kawashirikisha AY na Diamond Platnumz wimbo umerekodiwa studio za Prince Dullysykes na umepata nafasi ya kupitia kwenye mikono ya Tudd Thomas na Emma The Boy.

No comments:

Post a Comment