Friday, 22 August 2014

Khalid Chokoraa akutwana noti bandia?





Miongoni mwa waimbaji wa muziki wa bendi ambao miezi michache iliyopita alibadilisha headline mbalimbali baada ya kuingia kwenye ulimwengu wa ngumi za kulipwa kwa Tanzania.
Inasemekana amekamatwa na hizo ambazo ni bandia na baada ya kuhojiwa amekiri kuwa ni yake lakini nae kadai amepewa na mtu asiyemfahamu

No comments:

Post a Comment