Tuesday, 29 July 2014

# JE ? WAJUA COVER LA WIMBO MPYA WA NICKI MINAJI LAWA GUMZOO




Ikifika tarehe tarehe 4 mwezi wa 8 mashabiki wote wa Nicki Minaj watafungua iTunes kununua wimbo mpya wa Nick Minaj unaitwa Anaconda. Lakini hivi sasa kick kubwa ni cover ya picha za wimbo huo ambayo alipost kwenye instagram na hadi hivi sasa imepata likes zaidi ya milioni 3.

Picha ya kwanza imepigwa kutoka kwa nyuma na hivi sasa ametoa nyingine iliyopigwa kutoka mbele.



No comments:

Post a Comment