MTOTO KAIBIWA CHANGANYIKENI LEO ANAITWA MARLYN. ATAKAE MUONA NNAOMBA ATUUSAIIDIIE KUTOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE. AAMEIBIWA NA MKAKA KANYOA PANK. Please upatapo ujumbe huu mfowardie na mwenzako . alikuwa nyumbani na dada ake wakaenda gengeni wakakutana na mbaba akauliza mama marln yupo hayupo baba hayupo. anarudi sangapi sijui. akarudi nyumbani na mtoto. kufika nyumbani yupo mama mdogo wa mtoto. yule kaka baada ya mda akaja tena anaomba kwenda chooni wakamuelekeza choo cha nje. dada akaaga anaendaa kwa fundi kawaacha watoto wanacheza uani na wenzie na akijua mamdogo yupo. ndio yule kaka katoka chooni kamuta merln amnunulie ndizi akatoka nae watu wanamuona akawa anaelekea km kanisa la assemblies changanyiken watu wakamuona kachukua boda boda kapanda na mtoto ndio mpk sai MTOTO HAJAONEKANA

No comments:
Post a Comment