Tuesday, 24 June 2014

#SUAREZ AMNG'ATA MCHEZAJI WA ITALY Giorgio Chiellini


Picha za video zimeonesha mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez akimng'ata beki wa Italy Giorgio Chiellini. Mwamuzi hakuona kitendo hicho lakini huenda hatua zitachukuliwa baadaye.

No comments:

Post a Comment