Saturday, 31 May 2014

MUONGOZAJI WA FILAMU, GEORGE TYSON AMEFARIKI!








Muongozaji wa Bongo Movies na vipindi mbalimbali vya television hapa nchini,George Tyson, (Baba Sonia), amefariki dunia,kwa ajali mbaya wakati akitokea Dodoma, maeneo ya Gairo, akiwa pamoja na timu ya The Mboni Show, ambao pia wamejeruhiwa vibaya sana.

Kwa sasa mwili wa Marehemu na majeruhi, wamepelekwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro.

Pia kumbuka George Tysona aliwahi kuwa mme wa msanii Monalisa, na wakabahatika kuzaa mtoto mmoja anayeitwa Sonia.

R.I.P George Tyson, Get well Mboni Masimba crew, pole sana Monalisa.

No comments:

Post a Comment