Thursday, 1 May 2014

MOURINHO AKUTANA NA MAKANDARASI WAMTANDIKA GOLI TATU NA MABASI YAKE

Screen Shot 2014-04-30 at 11.59.54 PM
Ni game ambayo Chelsea ndio walitangulia kupata goli la kwanza kupitia kwa Torres kwenye dakika ya 36 lakini likalipwa na Adrian Lopez kwenye dakika ya 44 kisha Costa akaongeza jingine kwenye dakika ya 60 kwa njia ya penati alafu goli la mwisho likafungwa na Turan kwenye dakika ya 72 hivyo game kuwa Chelsea 1- Atletico Madrid 3.
Screen Shot 2014-05-01 at 12.01.27 AM

No comments:

Post a Comment