Hii ni status yake ya mwisho Facebook.
Moja ya waigizaji walioandika kuhusu kifo cha Rachel ni Shilole >>> ‘sitaki kumkufuru Mugu wangu ila kazi yake haina makosa, tulimpenda ila mwenyenzi Mungu kampenda zaidi, duh.. inauma sana pole Saguda kwa mtihani uliokupata ila tupo pamoja kwa kipindi hiki kigumu’
No comments:
Post a Comment