







tAZAMA PICHA ZA MWIZI ALIEPOKEA KIPIGO KIKALI MTAA WA KOMBEZI <MFARANYAKI> MANISPAA YA SONGEA
shuhuda wa tukio adai mwizi huyo aldakwa mchana kweupe akijaribu kuvunya nyumba ya mtu mmoja katika mtaa wa kombezi <mfaranyaki> jana mchana kabla hajapewa kichapo kikali na wananchi mpaka polisi kufika eneo la tukio na kumwokoaaaa
picha na Ford Mwamwamwa
No comments:
Post a Comment