Ni furaha na hatua kubwa kwa msanii wa Tanzania kuona na kusikia kazi yake ikipewa nafasi kwenye vyombo vya habari kama radio na tv vya nje ya Africa mashariki kwani ubira wa hali ya juu wa kazi hizo ndio huchangia zaidi kazi hio kukubalika. Video ya wimbo wa Izzo Bizness – Tumoghele ft Hance Puff imeanza kuchezwa channel O.
Kwenye video hii anaonekana video model wa Tanzania Sabrina na rapper/singer Quick Rocka.
Izzo aliandika maneno haya yaliyoambatanishwa hii hii picha
“Hakika MUNGU ni mwema huu ni mwanzo mzuri shukrani zangu za dhati kwa wazazi wangu, @masterjtz@shaa_tz@skywalkertz@chokadj@bdozen@aytanzania#joket@the_real_njobe@quickrocka Na wote mliosupport na mnaoendelea kusupport Pia shukrani zangu za dhati kwa Director wa video @nickdizzorusule@nickdizzorusule@nickdizzorusule@nickdizzorusule naomba tuzidi kuirequest izidi kufanya vizuri…Sasa tumefika @channeloafrica@channeloafrica@channeloafrica@channeloafrica“
No comments:
Post a Comment