Monday, 17 March 2014

Namna Young Dee feki alivyotaperi Digital Camera Mbeya.


Hili ni tukio ambalo linakua kwenye records za wasanii mbalimbali wa Tanzania waliowahi kuhusishwa uhalifu kwa majina yao ambao baadhi yao hutambulika mapema kuwa sio wahusika,Leo Soud Brown ana-amplify taarifa za Young Dee Feki ambaye kataperi Digital Camera ya dada mmoja huko Mbeya

No comments:

Post a Comment