Wednesday, 26 March 2014

#MSANII ENOCKY JUNIOR ANAHITAJI MTU WA KUMSIMAMIA KAZI? ZAKEE






Mwana music chipkiz wa bongo flave bexy layno mwenye wimbo hewan tunawe Bexy ft mkristo & dav leo ameamua ku change jina na sasa anajita Eno junior he imetoka na kwamba washabiki zake kumchagulia jina la Eno junior coz ya kuwa bexy n gum kuanzia trak ifatayo atatambulishaka kama Eno junior mwana hbr habarika blogs na media na shabiki wote wajue hvyo


NAMBAA YA ENOCKY JUNIOR

0653561188


No comments:

Post a Comment