Wednesday, 12 March 2014

#BREAKING NEWSSS::::__SAMWELI SITA ASHINDA UENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA





#‎HABARI‬ Mh. Samuel Sitta ameshinda kuwa mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba kwa kupata kura 487 dhidi ya Hashimu Rungwe aliyepata kura 69

Jumla ya wapiga kura leo walikuwa 563 na kura zilizoharibika ni kura 7

No comments:

Post a Comment