Saturday, 15 March 2014

Baada ya Wema kudaiwa kumfanyia Diamond fujo studio, leo kaweka hii picha na kuyaandika haya



 stori kwamba Wema Sepetu amekwenda na kumfanyia fujo Diamond Platnumz studio.

Hiyo ilitokana na kuona video ya Diamond akiwa na Victoria Kimani studio, msichana ambae amewahi kutajwa kuwa mapenzini nae.

Baada ya yaliyotokea jana, Wema ameandika haya maneno hapa chini baada ya kuweka hiyo picha hapo juu

No comments:

Post a Comment