Uganda; Achomwa Moto kwa Ushoga;
... Siku chache baada ya kupitishwa Sheria yenye kupinga vitendo vya Ushoga na Usagaji, hii ni moja ya Tukio lililoripotiwa kuhusu Mtu huyu aliyechomwa Moto kwa kuhisiwa ni Shoga Nchini Uganda na Wananchi wa Nchi hiyo, jina la Mtu huyu alikufahamika mara moja huku kitendo hiki kikitafsiriwa ni ishara ya Wananchi kumuunga Mkono Rais wao.
Siku ya mwisho Mungu ana kazi ya kuhumu
ReplyDelete