
Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto.

Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea

Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka

Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo
No comments:
Post a Comment