Wednesday, 12 February 2014

DIVA AELEZEA UHUSIANO WAKE NA KING CRAZY GK


Zile tetesi zilizoanzishwa na Team Chaggabarbie kuwa Diva na Msanii anaeunda kundi la East Cost tema GK zimekuwa na ukweli kwani diva ameamua kuvunja ukimya na kuweka kila kitu wazi kabisaaaaa kuhusu penzi hilo..... Diva alipost picha hiyo hapo juu kisha kuweka maneno haya kama caption ya Picha hiyo.




No comments:

Post a Comment