Wednesday, 26 February 2014

#DIAMOND AMPONDA ALI KIBAA SOMA HAPA




ALICHOKIANDIKA MSANII DIAMOND KUHUSU ALI KIBA KUJIUNGA NA TAASISI YA SOCIAL CREDIT COMPANY NA KUPATIWA MKOPO. KIUKWELI SIO KITU KIZURI ALICHO POST DIAMOND KATIKA UKURASA WAKE WA TWEETER:

Nanukuu: "Duh...! Nimesikia jamaa eti amejenga nyumba kafikia kwenye RINTA kashindwa kuimalizia kuficha aibu yake ameamua kujiunga na ile taasisi inayotoaga mikopo isiyokua na RIBA inayoendeshwa na RIDHIWANI KIKWETE. Hii inaonesha muziki umekukataa dili zimebuma shows zimekata mapesa yamekimbia. Duh Pole sana SINGLE BOY ALI KIBARAZA"

HAYO NDIO MANENO ALIYOANDIKA MSANII DIAMOND KATIKA TWEETER. ALIKIBA AKAMJIBU KAMA IFUATAVYO:

Nanukuu: "Yote Maisha ndugu yangu, kuna matajiri duniani wanapesa nyingi lakini wanapanga foleni kwenye mabank kuomba mikopo sembuse mimi Ali Kiba?! Kweli sikatai nimejiunga na SOCIAL CREDIT COMPANY na nimekopeshwa kwa faida yangu mimi na maisha yangu wewe kinachokuuma nikitu gani mpaka unakosa chakupost unazungumzia maisha yangu? Huwa sipendi Scandle kwa sababu wewe nakujua unapenda Scandle na kujibizana mitandaoni hizo ni tabia zakike. Kumbuka haya maisha kuna leo nakesho, maisha ni mzunguko wa sifuri wote tunazungukia sehemu moja. Kama kimekuuma mimi kujiunga na kupewa mkopo au umeona nafaidi sana nawewe jiunge ingia katika hii tovuti http://socialcredit.wapka.mobi ujiunge, mikopo haijaandikwa apewe masikini, tajiri au mtu maarufu wote sawa duniani na mikopo ndio kimbilio letu masikini kama wewe mwenzetu unajiona tajiri sawa ila sipendi kua unanizungumzia. Peace & Love.

No comments:

Post a Comment