Saturday, 1 February 2014

BREAKING NEWS::__Askari 5 wa jeshi la Polisi mkoani Dodoma wamefariki dunia

 
 
 
 

#‎HABARI‬ Askari 5 wa jeshi la Polisi mkoani Dodoma wamefariki dunia baada ya gari dogo walilokuwa wanasafiria kugangana uso kwa uso na basi la Mohammed Trans katika eneo la Mtumba Dodoma mjini usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment