
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA WITO KWA WAHESHIMIWA WABUNGE WOTE
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa wafike Jijini Dar es Salaam Jumapili tarehe 26 Januari 2014 kwa ajili ya shughuli za Kamati za Bunge zitakazoanza tarehe 27 Januari 2014 hadi tarehe 8 Februari 2014. Moja ya shughuli hizo ni pamoja na ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Imetolewa na Ofisi ya Bunge, Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Dar es Salaam 17 Januari 2014...
No comments:
Post a Comment