Utengenazaji wa filamu mpya ya mwanadada NISHA BEBEE umemalizika na hizi ni baadhi ya picha zake
Nishas Film Production na mwanadada machachari mchakarikaji asiyekuwa namashauzi @nishabebee
wamemaliza kupika movie hii iliyojaa vituko na mashamsham hahahaa otea
sasa utamu wake utakuwaje. Nisha ameniambia nimapema kusema jina la
movie hiyo ila mashabiki wake wakae mkao wakuona kitu kingine kizuri kwa
mwaka huu 2014
aaahaaa serious kazini
ReplyDeletenomaaa xana
ReplyDelete