Wednesday, 22 January 2014

#TAZAMA NYUMBA ALIYONUNUA YOUNG D




Wanamuziki wa kizazi kipya wanaendelea kufanya mambo mazuri kutokana na kipato wanachopata kwenye muziki.

Msanii David Geez maarufu kama Young D ame-share picha za nyumba aliyonunua huko Kimara Suka.

David amenunua nyumba hiyo ambayo ataifanyia ukarabati ilikufikia kiwango anachokitaka yeye na kuhamia baadae.

Hizi ni ndiyo picha alizo-share Young D leo asubuhi.





No comments:

Post a Comment