Wednesday, 22 January 2014

News alert: BAADHI YA WANAFUNZI WA ST JOSEPH SONGEA WASEKWA LUPANGO









News alert: Wale wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Joseph Songea walio swekwa lupango jana wapo mbioni kuachiwa.

Chadema diaspora tumewasiliana na mwanafunzi aliopo kituoni na inasemekana kuwa (tetesi) wataachiwa pindi Dr. Slaa atakapo ondoka

Stay connected





No comments:

Post a Comment