Wednesday, 22 January 2014

MITUMBA KUPIGWA MARUFUKU KUTOKANA NA TATIZO LA KIAFYAA


Mitumba ya nguo za ndani yazagaa TZ



Licha ya kupigwa marufuku nguo za ndani za mitumba nchini Tanzania kutokana na sababu za kiafya, bado biashara inaonekana kunawiri.

Nguo hizo zinawavutia watu wa kipato cha chini kutokana na bei zake za chini.

Shirika la udhibiti wa viwango Tanzania TBS limekuwa likifuatialia ubora wa nguo hizo kama ilivyo kwa bidhaa nyingine baada ya hivi karibuni kupiga marufuku ununuzi wa nguo hizo.


No comments:

Post a Comment