Tuesday, 14 January 2014

Kisikilize alichokifanya Diamond kwenye hii beat ya Chegge





Zitumie hizi dakika kadhaa kumsikiliza alichokifanya Diamond kwenye hii beat ya Chegge Chigunda ya Uswazi Take away,uongozi wake umetubariki kuwapa watanzania hii kama Exclusive kwenu kuisikiliza hii nyimbo

No comments:

Post a Comment