Thursday, 9 January 2014

JE? Jaqueline Wolper ni TOM BOY (Jike Dume) AU..?





Mungu siku zote huwa hakosei katika kuumba hivyo unapoumbwa mwanamke na kujigeuza mwanaume ni sawa na kumkosea Mungu aliyekuumba na kujinyima haki zote za msingi kama Mama, TOM BOY itakupa jibu usikose kununua nakala yako ya movie hii itakayokuwa kitaani siku si nyingi.

No comments:

Post a Comment