Tuesday, 14 January 2014

HIVI UNAJUA KAZI TOFAUTI NA UIGIZAJI ANAYOIFANYA DK CHENI





Dr.CHENI ambaye yeye tofauti na uigizaji pia ni mshehereshaji(MC) amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli za masherehe ya kutosha, Cheni ameuambia mtaandao wetu kuwa huwa anapokea simu nyingi sana za kumhitaji kufanya sherehe kama MC na yuko tayari wakati wowote anapohitajika maana yeye yupo kwa ajili ya jamii

No comments:

Post a Comment