Sunday, 12 January 2014

HIVI NDIVYO SNURA MUSHI (mamaa wa majanga) ATAVYOSHEHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA...!!


HIVI NDIVYO SNURA MUSHI (mamaa wa majanga) ATAVYOSHEHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA...!!


Leo anazaliwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura mushi a.k.a mamaa majanga katika kuifanikisha siku hii ameamua kula na kunywa na watoto yatima wa kituo cha wakuwama kilichopo sina maeneo ya meheda.tukiongea na snura amesema zawadi zote anazopokea siku ya leoni mali ya watoto yatima kwahiyo amewaomba wote wataotaka kumpa zawadi basi wampe zawadi ambayo ataweza kuwapa watoto hao wanaishi katika maisha magumu. blog hii ya burudani inamtakia kila la kheri snura mushi katika siku ya yakuzaliwa.

kuanzia mida ya saa 9 leo tutakuwa pale kwa ajili ya shughuri hizo











happybirthday snura mamaa majangaaaaaaaaaaaaaaa.

No comments:

Post a Comment