Friday, 24 January 2014

EXCLUSIVE INTERVIEW: PENNY AZUNGUMZA UKWELI WA MAMBO, ASEMA YEYE NA DIAMOND WAMEPEANA ‘SPACE’ (VIDEO)

Diamond na mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu kurudiana tena.

Katika interview hiyo, Penny ameongea pia kuanzia historia yake, namna alivyoingia kwenye utangazaji, alivyokutana na Diamond, mapenzi yao yalivyokuwa, alivyojisikia baada ya kuona picha za Wema na Diamond, maisha yake ya sasa na mipango yake ya mwaka huu.

Akizungumzia kuhusu alivyojisikia baada ya kuona picha za Diamond akiwa na Wema, Penny amesema yeye pia alishangaa kama watu wengine walivyoshangaa kuziona.

“Mimi ni mtu ambaye utaniambia ‘fulani amefariki’ na sitakiamini mpaka nione kabisa huyu hapa amekufa,” amesema Penny. “Nilipoziona picha nilishtuka kidogo, kibinadamu nilikuwa ‘Ohh Mungu wangu kipi kinaendelea’. Lakini sijui.. Mungu wa ajabu sana, niliichukulia kwa uzito mdogo kadri nilivyoweza, ilipita tu kama ‘shaaa’.. na dakika inayofuata (Diamond) anasema ‘ohh ni movie’.

No comments:

Post a Comment