Ijumaa hii video nyingine itaingia kwenye list ya video zilizotoka kwenye mwezi wa kwanza.
Video hiyo inatoka kwa kundi la Weusi ya wimbo wa “Nje ya Box” na director wa video hiyo ni Nisher.
Mwezi wa kwanza wasanii wengi wametoa video kuanzia Diamond,Chege,Madee,Makomando na Ijumaa hii kabla ya mwezi wa kwanza kuisha video nyingine “Nje ya Box” itatoka.
Hizi hapa ni picha na kipisi cha video hiyo.
No comments:
Post a Comment