Sunday, 19 January 2014

Breaking: RAISI KIKWETE ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI WAPYA

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue ametangaza baraza jipya la mawaziri wakiwemo walioziba nafasi tano zilizokuwa wazi na wengine kuhamishiwa wizara nyingine!

MAWAZIRI WALIOZIBA NAFASI TANO ZILIZOKUWA WAZI

Waziri wa Fedha-Saada Mkuya, Waziri wa Maliasili na Utalii-Lazaro Nyalandu, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa-Hussein Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchii-Mathias Chikawe, Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na…

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue ametangaza baraza jipya la mawaziri wakiwemo walioziba nafasi tano zilizokuwa wazi na wengine kuhamishiwa wizara nyingine!

MAWAZIRI WALIOZIBA NAFASI TANO ZILIZOKUWA WAZI

Waziri wa Fedha-Saada Mkuya, Waziri wa Maliasili na Utalii-Lazaro Nyalandu, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa-Hussein Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchii-Mathias Chikawe, Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi-Titus Kamani.

No comments:

Post a Comment