ZITTO KABWE KUWASHA MOTO KIGOMA KESHOO
Aliyekuwa naibu katibu wa bunge na mbunge wa kigoma mh zitto kabwe kesho kufanya mkutano katika
mkoa wake wa kigoma zitto anadaiwa kutaka kujibu mashambulizi toka kwa katibu mkuu wa chama hicho
wilboard slaa alipofanya ziara ya kutembelea mkoa huo
Zitto adai amesikia kilio cha watu weng wa kigoma hivyo ameamua kuunguruma hiyo kesho
No comments:
Post a Comment