Saturday, 28 December 2013

WAZIRI WA ZAMANI WA LEBANON AUAWA KATIKA MLIPUKO WA BOMU


MLIPUKO WAUA 7 AKIWEMO WAZIRI WA ZAMANI WA LEBANON








Mlipuko wa bomu kwenye gari umeua watu saba akiwemo Waziri wa Fedha wa zamani wa Lebanon, Mohamad Chatah na kujeruhi wengine 70 jijini Beirut, Lebanon!

No comments:

Post a Comment