Saturday, 21 December 2013

UBAKAJI JKT MAFUNZONI


Hawa ni Wabunge, huku wakiwa wamenyolewa nywele zote

Vijana Wakiume wakiwa mazoezini
Kuna habari inayovuma kua kuna wimbi kubwa la ubakaji kwenye kambi za(ya) mafunzo za(ya) JKT kwa wnafunzi waliohitimu KIDATO CHA SITA wanaojiunga kwenye kambi hizo kwa visingizio vya KUWAFUNZA UZALENDO..

Habari hii sasa sio siri tena na mbinu wanayotumia hawa wanaotoa mafunzi kwa dada zetu ni kua;asubuhi wakati bado kuna kiza kinene wanawapeleka watu kwenye mashamba ya kambini na wanawapangia maeneo kwa umbali mkubwa sana kutoka kwa mwingine,baada ya hapo watoto wakike hubakwa na kutishwa endapo watapiga kelele..


Kuna Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar,Lakini Baba yake amesema amedanganywa kuhusu chanzo cha kifo lakini ndugu zake waliokuwepo jeshini wamemwambia ukweli(Kua alibakwa hali iliyomsababishia maumivu hadi kufa), analaumu pia hajapewa ripoti ya uchunguzi wa mwili.


MY TAKE:
JKT NI SEHEMU YA KUPEWA MIMBA NA KUAMBUKIZWA MAGONJWA YA ZINAA KWA WATOTO WA KIKE KAMA WANAJESHI WETU HAWAWEZI KUBADILIKA KWA HILI BASI NI HERI WATOTO WETU WASIENDE VYUONI KULIKO KWENDA HUKO KWENYE 'MAFUNZO YA UZALENDO'..

No comments:

Post a Comment