Thursday, 19 December 2013

TUNAMSUBIRI OKWI UNAKUJA WEWE...

>Shabiki wa Yanga (kushoto) akimtania beki wa Simba, Gilbert Kaze mara baada ya kuwasili jana Jumatano Uwanja wa Ndege waKimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam akitokea kwao Burundi. Shabiki huyo alikuwa na wenzake wakimsubiri kwa hamu mshambuliaji wao mpya, Emmanuel Okwi ambaye hata hivyo hakuwasili kama ilivyotangazwa awali.

2 comments: