Saturday, 21 December 2013

TAZAMA MGANGA WA KIENYEJI JINSI ALIVYOMVUNJA TAYA MKEWE...






Mariam Crispin Kilimba(52)mkazi wa Ipuli manispaa ya Tabora anayedaiwa kupigwa na mumewe Bw.Himid Hassan Kitebo(58)ambaye ni mganga wa Kienyeji na kusababisha kumvunja taya.




Bi.Joha Aman(38)mkazi wa kata ya Isevya alipigwa na mumewe na kujeruhiwa vibaya ambapo amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete.Matukio ya ukatili wa kijinsia mkoani Tabora bado yanaendelea kushika kasi siku hadi siku.

No comments:

Post a Comment