Mashabiki wa klabu ya Simba tawi la Port view jijini Dar es salaam wamelazimika kupepea bendera za Simba nusu mlingoti kwa madai hali ya sintofahamu inayoendelea klabuni humo pamoja na sakata la aliyekuwa mchezaji wa Simba Emmanuel Okwi ni sawa na msiba klabuni humo.
No comments:
Post a Comment