Tuesday, 10 December 2013

SEHEMU YA MAANDALIZI YA MAZISHI YA RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA YA KUSINI NELSON MANDERA YANAENDELEA



Hili ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa makubwa, kutoka pande zote za dunia wanatarajia kuhudhuria maziko hayo


No comments:

Post a Comment