Wednesday, 11 December 2013

Nyimbo, Tarehe Ya Kutoka Na Cover La Kazi Mpya Ya Rapper B.O.B Vipo Hapa.

B.O,B Ametangaza rasmi namba ya nyimbo zilizoko kwenye cd yake mpya, Tarehe Ya Kutoka Na Cover La Kazi Mpya Ya Rapper huyu. Kwenye interview na
106& Park B.o.b amenukuliwa na sammisago.com akisema kuwa album hii itakuwa album bora ya mwaka na inamuonekano mpya wa B.O.B. 



1. "All I Want"
2. "One Day"
3. "Paper Route"
4. "Ready" f. Future
5. "Throwback" f. Chris Brown
6. "Back Me Up"
7. "Coastline"
8. "Wide Open"
9. "FlyMuthaFucka"
10. "HeadBand" f. 2 Chainz
11. "John Doe" f. Priscilla Renae
12. "Cranberry Moon Walk" f. Mike Fresh
13. "Nobody Told Me"
14. "Forever"
15. "We Still In This Bitch" f. T.I., Juicy J

No comments:

Post a Comment