NEY WA MITEGO AFANYIWA KITU MBAYA NA WAJANJA WA MJINI
Msanii wa Hip Hop, Nay Wa Mitego usiku wa kuamkia leo ameibiwa vifaa vya gari lake aina ya Toyota Verossa lenye namba T 418 CGK vyenye thamani ya shilingi milioni 4 lililokuwa limeegeshwa nyumbani kwake.
No comments:
Post a Comment