Thursday, 12 December 2013

Makomando Wanajipanga Kutoa Video Yao Mpya Ya Kibaba Baba, Its Hot



Makomando wamefanya interview na fordmwamwamwa.blogspot.com kuhusu ujio wa video yao mpya nakusema kuwa Mavazi, Swag na Muonekano wa video yao ni tafauti
sana na hawajawahi kufanya kitu kikali kama hichi. Video itatoka kwenye screen yako ndani ya wiki chache zijazo




No comments:

Post a Comment