EXCLUSSIVEE--MSANII WA TIP TOP CONNECTION "DESO" AKAMATWA NA POLISI NA MAGUNIA 40 YA BANGI AKIYASAFIRISHA
Msani anaejulikana kwa jina la deso hivi
karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo.
akiongea na PAPARAZI chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka mkoani tanga
No comments:
Post a Comment