Sunday, 22 December 2013

EXCLUSSIVE NEWSS----AJALI YAUA 6 TANGA, YAJERUHI ZAIDI YA 12




WATU sita wamefariki papo hapo na zaidi ya 12 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Hiace kuligonga kwa nyuma lori la mizigo lililokuwa limeharibika barabarani bila kuonyesha ishara yoyote eneo la Kange jirani na mizani mkoani Tanga! 

Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa Tanga kwa 

No comments:

Post a Comment