Friday, 27 December 2013

DIAMONDA ATOA POLE KWA MTOTO HUYU ALIYEUMIA JANA WAKATI AKIJARIBU KUPATA NAFASI YA KUNIONA

NATOA POLE KWA MTOTO HUYU ALIYEUMIA JANA WAKATI AKIJARIBU KUPATA NAFASI YA KUNIONA

 Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu
 mdogo,aliyepata

 majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya
 kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo..
NAWAPENDA MASHABIKI WANGU..NAWAPENDA SANA WATOTO WOTE


No comments:

Post a Comment