Tuesday, 17 December 2013

BREAKING NEWSSSSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!



BREAKING NEWS: Watu watano wanahofiwa kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Land Rover kusombwa na maji katika daraja kwenye Kijiji cha Dolomoni, Iramba Mkoani Singida.

No comments:

Post a Comment