Thursday, 19 December 2013

BREAKING NEWSSS!!!!!!-----BASI LA HOOD LAPATA AJALI NA KUUA MMOJA































BREAKING NEWS: Mtu mmoja amekufa na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Hood Limited lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha kupata ajali eneo la Melela Mvomero, Mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment