
Baadhi ya waokoaji wakijaribu kuchimba kisima

Umati wa ukiwa ktk eneo la tukio la kuzama kwa watu wawili katika kisima
Watu wawili wanahofiwa kufa na wengine wawili waliotaka kuwaokoa wamepoteza fahamu baada kuzama kwenye kisima walichokuwa wakichimba eneo la Bondeni bar, Chanji mjini Sumbawanga. Shuhuda anadai kuna kitu kinavuta watu wakiingia ndani ya shimo hilo.
No comments:
Post a Comment