AY ASIMAMISHA SHUGHULI ZAKE ZA KIMUZIKI...SOMA ZAIDI HAPA

Mwanamuziki wa kimataifa Ambene Yesaya “AY” amesema kuwa kwa sasa amesimamisha masuala yoyote yanayohusiana na muziki na kugeukia mambo mengine Akionge na Maskani Bongo AY alisema” Kaka kwa sasa nimesimama sitaki kufanya chochote kunachohusiana na muziki badala yake nafanya mambo yangu binafsi ambayo nisingeweza kuyaweka wazi itakuwa sio poa” Alisema AY
No comments:
Post a Comment